Dernières vidéos

CLOUDSMEDIA
3 journées depuis

#cloudsdigital KEYSHA AMPA MAKAVU BABU TALE BUNGENI I WASANII NA NGOMA ZISIZONA MAADILI I UPO KIBIASHARA tumekuwekea video ya Mbunge Viti Maalum Khadija Taya (Keysha) amempa makavu Mbunge wa Morogoro kusini mashariki Mhe. Hamis Tale (Babu Tale)

CLOUDSMEDIA
3 journées depuis

JAHAZI: NANI MKALI WA FLOW JOH MAKINI VS STAMINA | YANGA KUCHEZA FAINALI NI JITIHADA ZA NANI ?

CLOUDSMEDIA
4 journées depuis

LeoTena ndani ya CloudsFm.

CLOUDSMEDIA
4 journées depuis

NYANDU TOZI AFUNGUKA KUMDISS JOH MAKINI, MCHONGO NA DIAMOND KUFELI, B.O.B MICHARAZO

CLOUDSMEDIA
4 journées depuis

“Katika siku zilizopita tulikuwa na ndugu yetu hayati Ruge Mutahaba, aliwekeza sana kwenye Sanaa ya muziki na alikuwa na taasisi ilikuwa inaitwa THT, hii taasisi ilikuza vipaji vya wasanii wetu wa muziki lakini hivi karibuni nimeona tasinia ya muziki imeshuka.” Mhe. Francis Ndulane Mbunge wa Kilwa Kaskazini siku ya jana alichangia mchango wake Bungeni Jijini Dodoma kwenye bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Endelea kuperuzi kwenye mitandao yetu ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz na akaunti ya Youtube “Clouds Media” kwa updates zote. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

CLOUDSMEDIA
4 journées depuis

Je wewe umewahi kuishi kama shemeji, au umewahi kukaa na shemeji, yapi ulipitia, ilikuwaje, Aaaaaah Mashemejiiiiii!!! #PBCloudsFm Fulani ya Kiijumaa, tutashare uzoefu na Mwanasaikolojia Isaac Lema Mwanasaikolojia Tiba - Kutoka Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi.

CLOUDSMEDIA
4 journées depuis

#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano na Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi

CLOUDSMEDIA
5 journées depuis

BEKA: HARMONIZE ALIKAA NA MKE WANGU WIKI , JAY MELODY NILIMKATLIA KOLABO, RAYVANNY, MOCCO, WAMEIGA

CLOUDSMEDIA
5 journées depuis

Wafanyakazi wa Hospitali ya SANITAS iliyo ndani ya jengo la Baraka Plaza Mikocheni wameondolewa ndani ya jengo hilo na askari wa kampuni ya ulinzi ambalo kwa sasa limezungushiwa uzio na kutoruhusu mtu yeyote kuingia ndani, kama anavyoripoti James Tupatupa ambaye amezungumza na baadhi yao

CLOUDSMEDIA
5 journées depuis

Ni kolabo ya kusherehekea Siku ya Afrika, ambayo hufanyika kila ifikapo Mei, 23, ya kila mwaka na kwa mwaka huu tayari miaka 61 imetimia huku kijana ambae ni Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), akitimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake. Kesho kwenye #PbCloudsFM tutakuwa na ➡️January Makamba, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. ➡️Innocent Shiyo, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia ➡️Bi Neema Chussi - Mkuu wa Sekretarieti ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika Addis Ababa, Ethiopia.

Montre plus