Những video mới nhất

CLOUDSMEDIA
12 giờ trước kia

#CloudsDigital ipo mbashara kutoka mkoa wa Pwani kupitia kipindi cha #Clouds360 #tumekuverify

CLOUDSMEDIA
12 giờ trước kia

XXL LARGE ROOM

CLOUDSMEDIA
12 giờ trước kia

XXL LARGE ROOM

CLOUDSMEDIA
12 giờ trước kia

XXL LARGE ROOM

CLOUDSMEDIA
12 giờ trước kia

MONI CENTROZONE: ROSTAM, ''HAKUNA KUNDI'', AJIBU KULIWA BUYU, MAHUSIANO YAMEFANYA NIMEONEKANA MBAYA

CLOUDSMEDIA
16 giờ trước kia

???? Kuokoa muda kwa ajili ya shughuli za maendeleo ???? Atoa wito kwa wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema uwepo wa Nishati Safi ya Kupikia kunamuokoa mtoto kike na athari (adha) zitokanazo na matumizi ya nishati isiyo safi kama kuni na mkaa. Ametaja athari hizo kuwa ni pamoja na kukosa muda wa kujisomea kwa kwenda kutafuta kuni na magonjwa yatokanayo na nishati isiyo safi. "Ninaposikia nishati safi ya kupikia ninaona ni jambo zuri ambalo linakwenda kumuokoa mwanamama, mtoto na hata baba ambaye anahangaika kwa muda mrefu na utafutaji wa kuni na mkaa na athari za matumizi ambazo ni nishati zisiyo safi na salama" Amesema Dkt. Kijaji Aidha, amempongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa mkakati wa nishati safi ya kupikia barani Afrika, na kuongeza kuwa mkakati huo wa matumizi ya nishati safi na salama unakwenda kuwaondoa watanzania katika kuhangaika kutafuta kuni na hivyo kuutumia muda mwingi kuwekeza kwenye shughuli za maendeleo. Ametoa wito kwa wananchi kutumia nishati safi ya kupikia ili kulinda mazingira, ikiwemo vyanzo vya maji ambavyo vipo kwenye misitu pamoja na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi akitolea mfano mvua zisizo tabirika. Ameongeza kuwa kulinda na kuyatunza mazingira kutasaidia watanzania kuondokana na changamoto za kiafya zinazoambatana na nishati isiyo safi. "Miti mingine ina sumu ndani yake, wakati wa kupika kwa kutumia mkaa inaweza leta athari na kuna mingine inatoa moshi mama akivuta moshi ina athiri mapafu yake." Amesisitiza Dkt. Kijaji

CLOUDSMEDIA
16 giờ trước kia

#CloudsDigital ipo mbashara kutoka mkoa wa Pwani kupitia kipindi cha #Clouds360 #tumekuverify

CLOUDSMEDIA
20 giờ trước kia

#CloudsDigital ipo mbashara kutoka studio ya Clouds Fm katika kipindi cha #clouds360 #tumekuverify

CLOUDSMEDIA
1 ngày trước kia

DVOICE ATOA SHUKRANI TEMEKE | MWAKA HUU KUFUNGUA ACADEMY | AMUOMBA DIAMOND MSANII MPYA AWE WA TMK

CLOUDSMEDIA
1 ngày trước kia

GB64 ALA KIAPO NA WACHEZAJI WA SIMBA VS TRIPOLI/ AWAKA NA NJAMA ZA YANGA

CLOUDSMEDIA
1 ngày trước kia

MCHUNGAJI WA SIMBA AIBUKA NA HUJUMA ZA YANGA CAF/ AJITOA MUHANGA KWA KAGOMA

CLOUDSMEDIA
2 ngày trước kia

NAO LINDI HAWAJAACHWA NYUMA NA WIZARA YA MAJI

CLOUDSMEDIA
2 ngày trước kia

MTWARA TANDAHIMBA WAPELEKE MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA

CLOUDSMEDIA
2 ngày trước kia

KAGOMA AMLIZA SHABIKI WA SIMBA MBELE WAARABU| WACHEZAJI WAACHIWA DENI ZITO KWA KAPA

CLOUDSMEDIA
2 ngày trước kia

SIMBA WAITANGAZIA VITA AHLY TRIPOLI KWA MKAPA | WAIBUKA NA KAGOMA KAMA MGENI RASMI.

CLOUDSMEDIA
2 ngày trước kia

STAMINAH AJIBU DISS YA JOH MAKINI, KUROPOKAGA, ''NDIO WANAKUA'', ALBUM SHIDA SIO MIMI

CLOUDSMEDIA
3 ngày trước kia

MAKABILA:DIAMOND ANAPENDA MASHEMEJI, KIBA ALITAKA KUNIPIGA, BABU TALE, BILLNASS, 'SIWEZI KWA NDELE'

Cho xem nhiều hơn