Volgende

Miili 34 kati ya 429 kupewa familia wiki ijayo kwa ajili ya mazishi

21/03/24
K24 TV
In Afrika

Familia ambazo wapendwa wao waliangamia katika msitu wa Shakahola, kaunti ya Kilifi , sasa zitalazimika kusubiri takriban wiki moja kuchukua miili kwa ajili ya mazishi. Hii ni baada ya mwanapathologia wa serikali daktari Johansen Oduor kudokeza kuwa miili 34 pekee kati ya 429 ambayo ilitambuliwa kupitia DNA ndiyo itakayotolewa kwa familia

Laat meer zien

 0 Comments sort   Sorteer op


Volgende