Suivant

Mjadala kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2024

22/05/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Seneta wa Busia Okiya Omtatah na mkenya Eliud Karanja wameitaka mahakama kuu kusitisha bunge kuendelea kupokea maoni ya umma au kukumbatia mswada wa fedha wa mwaka 2024 wakisema umewasilishwa mapema mno kabla ya makadirio ya bajeti ya mwaka ujao wa kifedha. Wawili hao wamemtaka jaji mkuu martha koome ateue jopo la majaji kuangazia suala hilo. Mswada huo wa fedha unaendelea kuibua hisia mseto huku muungano wa mahasibu nchini ukipinga nyongeza ya ushuru katika sekta ya uchukuzi, teknolojia na bidhaa tofauti.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant