Up next

Rais mstaafu Kenyatta atoa wito kwa wakenya kuwasaidia wenzao waliokumbwa na maafa ya mafuriko

01/05/24
K24 TV
In Africa / Kenya

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa wakenya kuja pamoja ili kuwasaidia wenzao waliokumbwa na maafa ya mafuriko kote nchini. Kupitia taarifa rasmi kwa vyombo vya habari hii leo, Kenyatta amewarai wahudumu wa afya wa kujitolea wajitokeze ili kuwasaidia wakenya wanaohitaji matibabu kutokana na mgomo wa madaktari unaoendelea. Wakati huo huo, kiongozi wa azimio Raila Odinga amekosoa namna serikali ya kitaifa inavyoshughulikia maafa ya mafuriko akisema inatoa taswira ya mkanganyiko serikalini na kulaumu ujenzi wa miundombinu dhaifu.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next