اگلا

Tume ya EACC yachapisha ripoti ya robo mwaka ya uchunguzi wa visa vya ufisadi katika afisi za umma

18/05/24
K24 TV
میں افریقہ

Tume ya kupambana na ufisadi EACC, imechapisha ripoti ya robo mwaka ya uchunguzi wa visa vya ufisadi katika afisi za umma. katika ripoti hiyo, EACC imependekeza visa 12 kati ya 17 vilivyowasilishwa kwa ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kuchukuliwa hatua za sheria.

مزید دکھائیں

 0 تبصرے sort   ترتیب دیں


اگلا