Wagonjwa katika hospitali tofauti nchini zikiwemo za Nairobi waendelea kukosa huduma za matibabu
0
0
22/03/24
Wagonjwa katika hospitali tofauti nchini zikiwemo za Nairobi wameendelea kukosa huduma za matibabu kufuatia mgomo wa madaktari ambao umeingia siku ya nane hii leo. Wagonjwa waliokuwa wakihitaji matibabu ya dharura walilazimika kutafuta huduma katika hospitali za kibinafsi.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par