اگلا

Athari za mafuriko katika kaunti tofauti

17/04/24
K24 TV
میں افریقہ

Onyo la kuhamia mara moja kwenye nyanda za juu limetolewa kwa wakazi wa tana delta kufuatia kujaa kwa bwawa la masinga ambalo limeanza kumwaga maji na mto tana kuonyesha dalili za kuvunja kingo. Taswira hiyo imetokana na mvua kubwa inayonyesha pamoja na kuanza kufurika kwa bwawa Masinga

مزید دکھائیں

 0 تبصرے sort   ترتیب دیں


اگلا