Country Wizzy Atamani Wasanii Wa Zamani Kuwa Kama Jay Moe
0
0
10/05/24
Im
Afrika
kiwa yuko inspired na speed ya Mr Moccasin @jaymoefamous, Gadaffi @countrywizzy_tz ame-share mchakato ya kumpata na kufanya ngoma ya pamoja na Jay Moe, akieleza kuwa anachokiona kwake, ni kitu ambacho alitamani kukiona kwa wasanii wengi wa generation ya Moe. • #XXLyaCloudsFM
Zeig mehr
0 Bemerkungen
sort Sortiere nach