Als nächstes

Esther Bulaya: 80% Waandishi wa Habari Hawana Mikataba I Hakuna Anayewatetea Waandishi wa Habari

16/05/24
CLOUDSMEDIA
Im Afrika

Mbunge Viti Maalaum Mhe. Esther Bulaya, mchana wa leo akiwa anachangia bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka wa fedha 2024/2025, amesema Serikali iendelee kulipa madeni ya vyombo vya habari ili vyombo hivyo viendelee kujiendesha na kulipa mishahara ya wafanyakazi wao. Aidha Mhe. Bulaya, amependekeza kwenye bajeti kuu ya Serikali walau itengwe 0.3% kwa ajili ya kulipa madeni ya vyombo vya habari. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Zeig mehr

 0 Bemerkungen sort   Sortiere nach


Als nächstes