Næste

Familia ya marehemu Francis Ogolla yatoa heshima zao za mwisho

21/04/24
K24 TV
I Afrika

Familia ya marehemu Francis Ogolla wametoa heshima zao za mwisho kulingana na agizo lake kuwa mazishi yake yafanyike saa 72 baada ya kifo chake. Katika risala zao wamemtaja Ogolla kuwa mume, baba, babu na rafiki ambaye aliongoza kwa mfano kupitia matendo yake na sio maneno pekee.

Vis mere

 0 Kommentarer sort   Sorter efter


Næste