Up next

Jinsi kina mama wanavyoshiriki uhifadhi wa mazingira Loitoktok

07/04/24
K24 TV
In Africa / Kenya

Katika makala ya wiki hii ya sauti ya mazingira ,tunaangazia jinsi wanawake wa Maasai huko Loitoktok wanavyorejesha ardhi ya malisho. Juhudi hizo sio tu ni suluhisho la changamoto ya mifugo kusafiri mbali kutafuta malisho bali pia ni kupunguza migogoro kati ya binadamu na wanyama pori wanaovamia mashamba kunapokuwa na ukame mbugani

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next