Mipango yaendelea ya kuwahamisha wakimbizi wa ndani wanaopiga kambi katika taasisi za mafunzo
0
0
12/05/24
ভিতরে
আফ্রিকা
Shule zinaposubiriwa kufunguliwa hapo kesho, mipango ya dharura inaendelea ya kuwahamisha wakimbizi wa ndani wanaopiga kambi katika taasisi za mafunzo. Ripoti kutoka kituo cha kitaifa cha oparesheni za majanga inafichua kuwa zaidi ya wakenya 280,000 wameyakimbia makazi yao, na wengine 380,000 wameathiriwa na mvua kubwa na mafuriko.
আরো দেখুন
0 মন্তব্য
sort ক্রমানুসার