Strax

Muungano wa maafisa wa kliniki umetangaza kugoma kuanzia Jumatatu

31/03/24
K24 TV
I Afrika

Muungano wa maafisa wa kliniki umetangaza kugoma kuanzia kesho Jumatatu. Mwenyekiti wa muungano huo Peter Wachira amesema kuwa baadhi ya maafisa wake hawajakabidhiwa kandarasi za kudumu na kupandishwa vyeo kama inavyohitajika kisheria. Maafisa hawa sasa wametamaushwa namna serikali inavyopuuza malalamishi yao kwa muda mrefu na hali hiyo inayumbisha utekelezaji wa mpango wa huduma ya afya kwa wote.robi omondi na maelezo kamili

Visa mer

 0 Kommentarer sort   Sortera efter


Strax