Suivant

Rais Ruto aahidi kuongeza fedha zinazotengwa kuimarisha maslahi na miradi ya wanawake nchini

09/03/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais William Ruto ameahidi kuongeza fedha zinazotengwa kuimarisha maslahi na miradi ya wanawake nchini. Ameyasema haya katika hafla ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani huko Embu ambapo alifanya uteuzi wa wanawake 17 watakaohudumu kama mabalozi na manaibu mabalozi katika nchi tofauti.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant