Suivant

Serikali kuu yatoa pamba yenye thamani ya millioni 25 kwa wakulima kaunti ya Siaya

27/03/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Serikali kuu kupitia kitengo cha viwanda na wadau wengine wametoa pamba aina ya BT yenye thamani ya millioni 25 kwa wakulima katika kaunti ya Siaya. Nia yao ni kuimarisha uzalishaji wa pamba kutoka ekari 40,000 mwaka uliopita hadi ekari 130,000 mwaka huu.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant