Bir sonraki

WAITARA: HATUTAKI USHOGA TANZANIA I MNA MPANGO WA KUUA WATANZANIA I MIMI CHIEF WA KIKURYA NIOLEWE..?

17/05/24
CLOUDSMEDIA
İçinde Afrika

Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara leo akiwa anachangia bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 20224/2025 iliyowasilishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Waziri Dkt. Gwajima, amesema katika uwasilishaji wa hotuba ya waziri kwanini hakuonesha suala la ushoga, kwanini hakuonyesha mkakati wa Serikali wa kupinga ushoga, kwanini hasemi hadharani..? Mhe. Waitara, amesema kama kuna mpango wa kuua Watanzania Waziri aliangalie sana suala la ushoga, kama kuna mısrada ikataliwe. Endelea kuperuzi kwenye mitandao yetu ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz na akaunti ya Youtube “Clouds Media” kwa updates zote. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Daha fazla göster

 0 Yorumlar sort   Göre sırala


Bir sonraki