下一个

Watu wanane akiwemo mjazito waokolewa na KDF kaunti ya Machakos kutokana na mafuriko

03/05/24
K24 TV
非洲

Watu wanane akiwemo mjamzito waliokuwa wamekwama katika kisiwa cha mto Athi eneo la Kabaa kaunti ya Machakos kutokana na kufurika kwa mto huo hatimaye wameokolewa. Wanane hao walikuwa wamekwama kwa zaidi ya saa kumi na mbili kabla ya KDF kupeleka helikopta kwa ushirikiano na serikali ya kaunti na kuwaokoa. Wakati huohuo walioko Pwani wameshauriwa wasikaribie bahari hindi kutokana na athari za kimbunga hidaya kinachotarajiwa.

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个