下一个

ANAYEKUNYWA MAJI NDOO NZIMA ACHEKESHA UMMA , JUA KALI BODABODA HUYO NA JENEZA "SIZI KITAA"

29/03/24
CLOUDSMEDIA
非洲

Simple the Boy ame-sizi kitaa na wana kuzicheki takwimu za unywaji maji kulingana na jua linalotwanga ndani jiji la Dar es Salaam. Wana wamefunguka lita wanazokunywa kwa siku akiwemo bibie aliyedai anakunywa maji ndoo moja kwa siku kiasi cha kuuacha umma midomo wazi na vicheko vya hapa na pale, sawa, kulingana na eneo upo na hali ya hewa, unakunywa lia ngapi za maji kwa siku ?

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个