Volgende

Baraza la magavana lahimiza madaktari kusitisha mgomo wao

25/03/24
K24 TV
In Afrika

Baraza la magavana limehimiza madaktari kusitisha mgomo wao kutokana na athari kubwa ikiwemo kupotezwa kwa maisha. Mwenyekiti wa kamati ya afya ya baraza hilo Gavana Muthomi Njuki, amesisitiza umuhimu wa huduma za afya zisizokatizwa nchini

Laat meer zien

 0 Comments sort   Sorteer op


Volgende