Suivant

Francis Ndulane: Serikali Iwalete Wawekezaji Aina ya Ruge Mutahaba I Aliwekeza Sana Kwenye Muziki

24/05/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

“Katika siku zilizopita tulikuwa na ndugu yetu hayati Ruge Mutahaba, aliwekeza sana kwenye Sanaa ya muziki na alikuwa na taasisi ilikuwa inaitwa THT, hii taasisi ilikuza vipaji vya wasanii wetu wa muziki lakini hivi karibuni nimeona tasinia ya muziki imeshuka.” Mhe. Francis Ndulane Mbunge wa Kilwa Kaskazini siku ya jana alichangia mchango wake Bungeni Jijini Dodoma kwenye bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Endelea kuperuzi kwenye mitandao yetu ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz na akaunti ya Youtube “Clouds Media” kwa updates zote. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant