Tiếp theo

Jinsi wakazi wa mashinani Bomet wakabiliana na ukosefu wa maji safi

23/03/24
K24 TV
Trong Châu phi

Mtoto wa chini ya umri wa miaka 5 hufariki kila dakika ulimwenguni, kutokana na kunywa maji yasiyo salama. hiyo ni kulingana na shirika la afya duniani, WHO. Siku moja baada ya ulimwengu kuadhimisha siku ya maji. Jinsi jamii za mashinani zinavyokabiliana na changamoto za ukosefu wa maji safi na salama ya kunywa.

Cho xem nhiều hơn

 0 Bình luận sort   Sắp xếp theo


Tiếp theo