הבא

KAULI YA DOTTO MAGARI YAMFIKIA BANDO MC , KUZINGUANA NA STAMINA VIRAGO AVITUPIA KWA BILLNASS....

08/04/24
CLOUDSMEDIA

Simple the Boy FT Bando Mc - Siz Kataa Simple: Unakubaliana na wewe kutokuwa vizuri na Stamina ? bando: Hapana, hata kidogo, naheshimu sana mtu aliyenipa buku kipindi nina matatizo kuliko mtu anayenipa elfu kipindi nimejipata. Yeye ndiye kanileta Tanzania. Simple: Kwanini umemchagua Billnass ? Akilijibu swali hilo Bando ametumia kisa cha wasanii wa marekani 2pac na Big Notorious, namna ambavyo BN alivyokuwa anamuanisha Pac kuwa hausiki na mchongo mzima wa kumshambulia na namna ambavyo alikuwa anamchukilia kama mwanae still.

להראות יותר

 0 הערות sort   מיין לפי


הבא