下一个

KHALID ANAYEISHI NA MTOTO KATIKATI YA MAJI AFUNGUKA MSALA SIO KUONDOKA, UZUNI UWEZO WAMKWAMISHA...

08/04/24
CLOUDSMEDIA
非洲

"Sio kila mwaka mvua zinanyesha, mwaka huu mvua zimezidi." Khalid, Mkazi wa Kijij cha Gogo Zembe wilaya ya Rufiji akizungumzia mafuriko ya maji katika kijiji hicho, na kuelezea namna anavyoishi na mtoto wake. #cloudsdigital

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个