Suivant

LIVE: Azimio la Africa | Kolabo ya PB na Mhe January Makamba Kusherehekea Siku ya Afrika

23/05/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Ni kolabo ya kusherehekea Siku ya Afrika, ambayo hufanyika kila ifikapo Mei, 23, ya kila mwaka na kwa mwaka huu tayari miaka 61 imetimia huku kijana ambae ni Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), akitimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake. Kesho kwenye #PbCloudsFM tutakuwa na ➡️January Makamba, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. ➡️Innocent Shiyo, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia ➡️Bi Neema Chussi - Mkuu wa Sekretarieti ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika Addis Ababa, Ethiopia.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant