পরবর্তী আসছে

MTOTO WA MIAKA 9 ALIVYOMSHANGAZA MAKAMU WA RAIS PHILIP MPANGO, KAMA MTU MZIMA MAZUNGUMZO YAKE...

25/03/24
CLOUDSMEDIA
ভিতরে আফ্রিকা

Mtoto Jackline Eliabi (9) mwanafunzi wa darasa la nne katika moja ya shule za msingi mkoani Morogoro ambaye yupo kwenyew mradi wa utunzaji wamazingira wa ECO - School ameshangaza viongozi wengi akiwemo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa wa Tanzania Dkt. Philip Mpango wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani iliyofanyika kitaifa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.

আরো দেখুন

 0 মন্তব্য sort   ক্রমানুসার


পরবর্তী আসছে