Suivant

SEMAJI AHMED ALLY ALIA YANGA KUTOLEWA MAPINDUZI | TULIKUWA TUNAWATAKA

09/01/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amewatumia salam Yanga kwamba, wamshukuru sana mtu aliyewashauri wajivunje kwenye Mapinduzi Cup na kutolewa kwenye mashindano hayo! Ahmed amesema, Simba ilipanga kuwafanyia umafia ambao ingewachukua muda mrefu sana mashabiki wa Yanga kusahau ambacho kingewakuta Mapinduzi Cup. Lakini pia hakuacha kuwazungumzia Azam FC ambao pia wameondolewa kwenye mashindano hayo baada ya kufungwa na Singida Fountain Gate kwenye mchezo wa Robo Fainali. Usinunue pikipiki tu! Nunua pikipiki aina ya KINGBOSSI halafu utanishukuru baadae. Ni pikipiki kutoka MAKANZA COMPANY LTD [@makanzacompany] ni imara halafu zinadumu kwa muda mrefu.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant