下一个

Serikali ya kaunti ya Kilifi yaendeleza ubomoaji wa nyumba kwenye ardhi za serikali

05/04/24
K24 TV
非洲

Serikali ya kaunti ya Kilifi inaendeleza ubomoaji wa nyumba kwenye ardhi za serikali zilizonyakuliwa. Maafisa kaunti leo walifika mabirikani na kuanza shughuli ya bomoa bomoa wakisema walikuwa wametoa ilani ya mwaka mmoja kabla ya kuchukua hatua hii. Kulingana na gavana Gideon Munga’ro ardhi hiyo ya ekari saba ilikuwa imetengewa ujenzi wa makao makuu ya serikali ya kaunti hiyo na wakazi wameshindwa kuwasilisha hatimiliki halali.

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个