Tiếp theo

Tundu Lissu, Zitto Kabwe Wagusa Panapouma | Washusha Hoja Nzito Mabadiliko Tume ya Taifa Uchaguzi..

12/04/24
CLOUDSMEDIA
Trong Châu phi

Taarifa ya kubadilisha jina la 'Tume ya Taifa ya Uchaguzi' kuwa 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi", imepenya kila kona na kila mdau amekuwa na mtazamo wake kwenye mabvadiliko hayo. Kwenye #powerbreakfast April 12,2024, Huyu hapa Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA na Zitto Kabwe Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT.

Cho xem nhiều hơn

 0 Bình luận sort   Sắp xếp theo


Tiếp theo