Waziri Florence Bore akiri wizara haiwezi kubainisha idadi ya wakenya walioajiriwa nje ya nchi
0
0
25/04/24
U
Afrika
Waziri wa leba Florence Bore amekiri kuwa wizara ya leba haiwezi kubainisha idadi ya wakenya walioajiriwa nje ya nchi. Bore alifika mbele ya kamati za bunge kuhusu leba na masuala ya nje hii leo, ambapo alisema wizara hiyo inahitaji fedha zaidi ili kuwadhibiti mawakala wa ajira wanaowalaghai wakenya
Prikaži više
0 Komentari
sort Poredaj po