A seguir

Aliyekuwa waziri wa fedha Ukur Yattani ,gavana wa Marsabit na washukiwa wengine saba wakamatwa

25/04/24
K24 TV
Dentro África

Aliyekuwa waziri wa fedha Ukur Yattani ,gavana wa Marsabit Mohamed Mohamud na washukiwa wengine saba wamekamatwa na kufikishwa mbele ya tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC kuhusiana na ufisadi wa mabilioni ya fedha. Ukur Yattani kupitia mawakali wake amekanusha alikamatwa na kusema aliitwa atoe taarifa tu huku wakikashifu EACC kwa kuonekana kutumiwa kisiasa.

Mostre mais

 0 Comentários sort   Ordenar por


A seguir