Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhan
0
0
06/04/24
In
Afrika
Waumini wa dini ya kiislamu walimiminika misikitini maeneo mbali mbali nchini kwa sala ya ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Viongozi wa dini wamewataka waislamu kuendeleza ibada kikamilifu wanapokaribia mwisho wa mfungo huu.
Laat meer zien
0 Comments
sort Sorteer op