Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kenya, mkuu wa majeshi afariki akiwa mamlakani
0
0
21/04/24
Sa
Africa
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kenya, mkuu wa majeshi amefariki akiwa mamlakani . Marehemu Jenerali Francis Ogolla, aliyesifiwa kama mtu mkarimu na mwanajeshi mwenye tajika alizikwa chini ya saa 72 baada ya kufariki kwakJe katika ajali ya ndege. Mazishi ya mwendazake yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali
Magpakita ng higit pa
0 Mga komento
sort Pagbukud-bukurin Ayon