LIVE: Uliza Kiatu cha Upendo Peneza..| Kuacha Ubunge CHADEMA Kuhamia CCM | POWER BREAKFST
0
0
16/05/24
Upendo Peneza, Mwanasiasa na Mwanachama Wa Chama Cha Mapinduzi CCM aliipa kisogo CHADEMA akiwa Mbunge Wa Viti Maalum, je Safari yake kisiasa ipoje, na ipi kesho yake kwenye eneo hilo ana mengi ya kushare nasi... Kesho kwenye #PBCloudsFM : tutakuwa nae, kuanzia Saa 12 Alfajiri
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par