Maafisa wa ujasusi wakamata mlanguzi wa dawa za kulevya Mombasa
0
0
14/04/24
Maafisa wa ujasusi katika kaunti ya Mombasa walifanya msako wa alfajiri katika eneo la Magogoni, Kisauni ambapo walifanikiwa kumkamata mlanguzi wa dawa za kulevya anayejulikana kama Mwinyi seif salim maarufu mwinyi marebe. Mwinyi alipatikana na shilingi milioni moja, laki saba na efu themanini zinazohusishwa na biashara hiyo ya ulanguzi wa dawa za kulevya.
Show more
0 Comments
sort Sort By