Hasta la próxima

Madaktari wanaogoma wamemtaka waziri wa afya Susan Nakhumicha ajiuzulu

01/05/24
K24 TV
En África

Madaktari wanaogoma wamemtaka waziri wa afya Susan Nakhumicha ajiuzulu. Madaktari hao wamesema waziri huyo ameshindwa a kutatua mzozo wa wafanyikazi wa sekta ya afya, na kuhatarisha mfumo wa afya pamoja na maisha ya wakenya. Madaktari hao ambao mgomo wao umeingia siku ya 48 wamezidi kuilaumu serikali kwa kutotekeleza mkataba wa makubaliano ya pamoja wa mwaka 2017.

Mostrar más

 0 Comentarios sort   Ordenar por


Hasta la próxima