Следующий

Mahakama kuu yapinga ombi la kusitisha utekelezwaji wa sheria ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu

22/03/24
K24 TV

Mahakama kuu imepinga ombi la kusitisha utekelezwaji wa sheria ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu iliyotiwa saini juzi Jumanne na rais William Ruto. Hayo yamejiri huku jaji mkuu martha koome akiweka wazi kuwa hakuna makubaliano yoyote yaliyoafikiwa baina ya idara ya mahakama na serikali ya kitaifa kuhusu masuala ya nyumba za bei nafuu.

Показать больше

 0 Комментарии sort   Сортировать по


Следующий