下一个

Majadiliano kati ya madaktari na wizara ya afya

23/04/24
K24 TV
非洲

Wakenya haswa wagonjwa katika hospitali za umma wataendelea kutaabika zaidi kufuatia majadiliano kati ya madaktari na wizara ya afya kutofua dafu kikamilifu. Huku mgomo wa madaktari ukiingia siku ya arubaini hii leo muungano wa madaktari KMPDU umeeleza masuala ibuka ambayo yamelemaza vikao hivi ambavyo havijapata muafaka.

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个