下一个

MANGI MSAKA NOTI NDANI YA MFUMO WA KIDIGITALI | CLOUDS SHOP

07/03/24
CLOUDSMEDIA
非洲

Mangi msaka Noti, mchakarikaji kwelikweli muda wa kutafuta chapaa una thamani kubwa kuliko kitu chochote maishani mwake. Hii sio ndoto ni hadithi ambayo dibaji yake anatembea nayo kichwani, kwake Mangi bora wa kesho anatengenezwa leo na tayari ameitwa na makachero wa Taifa #SentroCloudsTv kulihutubia Taifa. Ni kolabo la Usiku wa Malkia na Mangi ana jambo lake. Iverify @CloudsTv #SentroCloudsTv #Tumekuverify

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个