次に

Matumizi ya dawa za kifua kikuu kwa watoto

16/04/24
K24 TV

Hii imepelekea wadau husika kubuni matumizi ya dawa za kifua kikuu kwa watoto, inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 1 oktoba, 2024 ili kuhakikisha upatikanaji wa dozi na hata ladha inayofaa watoto. kinyume na kifua kikuu kwa watu wazima, uwezekano wa maambukizi ya kifua kikuu kutoka kwa mtoto ni chini sana ikilinganishwa na maambukizi kutoka kwa mtu mzima.

もっと見せる

 0 コメント sort   並び替え


次に