Suivant

PANGA PANGUA YA MAWAZIRI, WAZIRI NAPE AMSHUKURU RAIS SAMIA WALIVYONUSURIKA "Umeendelea kutuamin

03/04/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Mh. Rais mimi kwa niaba ya yangu na Katibu Mkuu nikushukuru katika panga pangua ya juzi umeendelea kutuamini, ahsante sana." Waziri wa Habari, Mawasiliano nav Teknolojia ya Habari Mh. Nape Moses Nnauye kwenye uzinduzi wa tume ya ulinzi wa taaarifa binafsi uliofanyika april 3,2024 katika ukumbi wa JNICC - Dar es Salaam. ikumbukwe panga pangua hiyo ilitangazwa rasmi Machi 30,2024.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant