Suivant

Serikali kumpokonya Kiamba mamilioni

24/05/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Tume ya maadili na kupambana na ufisadi eacc imeanza shughuli ya kutaifisha shilingi milioni 113 zilizopo katika akaunti ya benki ya aliyekuwa afisa mkuu wa fedha katika kaunti ya Nairobi, Jimmy Kiamba. Aidha kufuatia uamuzi wa majaji watano wa mahakama ya juu, EACC pia itataifisha mali yenye thamani ya mamilioni anayomiliki kiamba kwani alishindwa kueleza jinsi alivyoipata

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant