Tume ya EACC yatoa ripoti yake ya uchunguzi
0
0
27/03/24
Trong
Châu phi
Wizara ya usalama wa ndani inaongoza kwa ufisadi hapa nchini ikifuatiwa kwa ukaribu na ile ya afya pamoja na ya uchukuzi. Hii ni kulingana na ripoti ya utafiti iliyozinduliwa leo na tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini , EACC. Aidha mamlaka ya usalama barabarani NTSA na idara ya polisi zinapokea mgao mkubwa wa fedha zinazotokana na ufisadi huku idara ya uhamiaji inayohusika na utoaji pasi za kusafiria ikiongoza miongoni mwa huduma ambazo ni lazima mkenya atoe hongo.
Cho xem nhiều hơn
0 Bình luận
sort Sắp xếp theo