Bir sonraki

Watoto wafanya maonyesho ya talanta za mitindo

11/03/24
K24 TV
İçinde Afrika

Wadau katika sekta ya sanaa nchini wanatumia sanaa ya mitindo miongoni mwa watoto kama njia moja wapo ya kutoa hamasa dhidi ya dhulma za kijinsia sawia na kukuza talanta miongoni mwa watoto ili kuwaimarisha kimaisha .

Daha fazla göster

 0 Yorumlar sort   Göre sırala


Bir sonraki