Suivant

Bashe: Tuchuke Takwimu kwa 360 I Bashe Amjibu Luhaga Mpina I Zungu Amtuliza I Tanzania Kuweka Rekodi

22/05/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, wakati wa kuzijibu hoja zilizotolewa na Wabunge wakati wa uchangiaji wa bajeti ya Vianda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2024/2025, amesema amepeleka mapendekezo kwa Wizara ya Fedha ili waweze kuongeza kodi kwenye mafuta yatokayo nje ili kuweza kuwalinda wakulima wa ndani waweze kuzalisha sana. Mbali na hoja ya mafuta, Mhe. Bashe amejibu hoja iliyotolewa na Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina kuhusu ruzuku kwenye mbolea. Endelea kuperuzi kwenye mitandao yetu ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz na akaunti ya Youtube “Clouds Media” kwa updates zote. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant