تا بعدی

Serikali kubadilisha hatimiliki za ardhi za watu na mashirika yaliyo na vipande vya ardhi msituni

08/04/24
K24 TV
که در آفریقا

Serikali kupitia kwa waziri wa mazingira Soipan Tuya imesema kuwa itabadilisha hatimiliki zote za ardhi za watu na mashirika yaliyo na vipande vya ardhi katika misitu iliyotangazwa kwenye gazeti za serikali. Mapema wiki hii, tuya aliongoza maafisa kutoka idara ya kulinda misitu KFS, katika shughuli ya kubomoa ukuta uliojengwa kwenye kipande cha ardhi katika msitu wa Oloolua kilichodaiwa kunyakuliwa na shirika la kujali maslahi ya watoto nchini.

بیشتر نشان بده، اطلاعات بیشتر

 0 نظرات sort   مرتب سازی بر اساس


تا بعدی