下一个

Serikali yatoa hakikisho la wakuasaidia walioathirika na mafuriko

27/04/24
K24 TV
非洲

Watu 6 zaidi wamepoteza maisha yao ndani ya saa 24 zilizopita huku zaidi ya makaazi 130,000 yakisombwa na mafuriko kufikia sasa. Msemaji wa serikali isaac mwaura amewaonya wanaoishi karibu na mabwawa na kuwataka wahamie maeneo salama akielezea hatari ya kufurika kwa mabwawa hayo. haya yanajiri huku bunge la taifa likipewa jukumu la kuharakisha kupitisha mswada wa kudhibiti majanga

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个