Suivant

WAFANYAKAZI SANITAS HOSPITAL WAFUNGIWA NJE NA ASKARI

23/05/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Wafanyakazi wa Hospitali ya SANITAS iliyo ndani ya jengo la Baraka Plaza Mikocheni wameondolewa ndani ya jengo hilo na askari wa kampuni ya ulinzi ambalo kwa sasa limezungushiwa uzio na kutoruhusu mtu yeyote kuingia ndani, kama anavyoripoti James Tupatupa ambaye amezungumza na baadhi yao

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant