Wavuvi kaunti ya Mombasa watapata afueni baada ya serikali ya kaunti kutenga shilingi milioni 100
0
0
12/03/24
Dentro
África
Wavuvi katika kaunti ya mombasa sasa watapata afueni baada ya serikali ya kaunti kutenga shilingi milioni 100 zitakazosaidia kuimarisha sekta hiyo. Gavana wa Mombasa ameahidi kuwa fedha hizo zitatumika kushughulikia baadhi ya malalamishi ya wavuvi
Mostre mais
0 Comentários
sort Ordenar por