Hasta la próxima

Wazazi na wanafunzi walalamika kuhusu tangazo la kuchelewa

29/04/24
K24 TV
En África

Kufuatia agizo la serikali kusongesha mbele kwa wiki moja siku ya kufunguliwa kwa muhula wa pili kwa wanafunzi kufuatia mvua nyingi inayoshuhudiwa kote nchini hisia mbalimbali zinazidi kutolewa msemaji wa serikali Isaac Mwaura amewataka walimu kutowarejesha nyumbani wanafunzi ambao tayari walikuwa wamefika shuleni. Baadhi ya wazazi na walimu tuliozungumza nao hata hivyo wameilaumu serikali kwa kutotoa tangazo hilo mapema haswa baada ya wanafunzi wengi kuwa tayari wamefika shule

Mostrar más

 0 Comentarios sort   Ordenar por


Hasta la próxima